KWANINI TUNAITWA WASWAHILI
- Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana
nae kabla)aunt au ancle.
- Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki (sio original copies).
- Stoo yako imejaa vitu (makorokoro) kwa kuwa hutupi kwa kuamini kuwa ipo siku utayahitaji kwa mfano karpet ukilitoa hulitupi n.k.
- Una machupa ya maji matupu au ya shampoo, perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka tuu wala huna shughuli navyo.
- Watoto wako wote wana majina ya utani mfano
babu ali,chidi,mamu,dida, mudi, idi n.k.
- Hakuna mtu katika familia yako anayetoa taarifa kwako anapo kuja kukutembelea mfano kaka,shangazi
n.k.
- Mifuko yako imejaa vitu kama vile vijiti vya kusafishia meno,tissue n.k ulivyochukua sehemu kama vile mgahawani.
- Mama yako anamigogoro na ndugu na hawazungumzi kwa muda wa siku
10au zaidi.
- Hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu (mfano usiku sana)na mara nyingi huwa una beep
tu.
- Ulipokuwa mdogo nguo unazonunuliwa pamoja na viatu ni vikubwa mara mbili ili uweze kuvivaa muda mrefu zaidi.
- Wakati ukisafiri na ndege unabeba mzigo wa uzito mkubwa
kuliko inavyoruhusiwa.
- Unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule.
Enjoy ur weekend!!!
Ati wewe ni m-blak mpaka ukisimama kwa ukuta ya white watu wanadhani ni short cut....
Ati, we m-black mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch.
Wewe mnono, ulienda movie and U sat next to everybody.
Ati wewe ni mchafu mpaka ukimaliza kuoga sabuni inakusengenya...ha ha
Ati skin yako ni tight mpaka uki wink mguu moja inainuka...hahaha
We ni m-ugly mpaka monkey ilikuona ikakupatia ndizi
We mnono ulienda national park elephants zikakutupia peanuts
Uko na mguu ka za kuku ukienda waseee wanadhani unarudi
Ati wewe ni m-tall mpaka uki-take milk inakuwa sour before ifike kwa tumbo.
Wewe ni m-tall ukitembea unapigiwa honi na ndege instead ya gari
Ati kwenu mko wengi hata mkilala miguu inabaki nje ilimtoshee.
Ati kwenu mko wengi mpaka mna lala na shifts
Ati uko na handwriting mbaya mpaka ukituma SMS haisomeki
TV yenu ni nzee mpaka mna izima na maji
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted!
Kwenyu nyi wengi badala ya sofasets muko na viti za stadi (stadium)
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi
Eti we ni m..black mpaka shetani akikucheki anasema ............Jesus!
Ati wewe ni mjinga ulifail blood test....
Eti manzi wako ni mslim mpaka akimeza donut bila kutafuna hukaa kama ana mimba ya
miezi sita!
Eti paka wenu ni mnoma mpaka akishika panya anaitisha chumvi na pilipili!!